News

NI mechi ya kisasi!, ndivyo unaweza kusema wakati Mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga, watakaposhuka leo kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora, kujaribu kulipa kisasi dhidi ya Tabora United, huku ...
"Kwenye ushambuliaji nadhani Ateba anafaa pale mbele kwa sababu ushirikiano wake na viungo washambuliaji umekuwa mzuri kwa siku za hivi karibuni, na sidhani kama atakibadili kikosi chake ... Simba ...